Mwaka wa kujitolea kwa mazingira

Kwanzia mwaka 2015 kumekuwa na watu wanaofanya kazi ya kujitolea kwenye maeneo ya mambo endelevu.Nafasi mpya iliyoundwa na FÖJ(Freiwilliges Ökologisches Jahr) ya watu tunaoshirikiana nao RBZ Wirtschaft.Kiel ambayo imewezeshwa na Heinrich Böll Foundation inayotusaidia kufanya kazi pamoja kwa karibu. Nafasi hii ni muhimu kwa kuweka mada kama”Elimu kwa maendeleo endelevu ” na “Elimu ya kimataifa” na kuweka pamoja na kusambaza katika maeneo tofauti ya elimu.FÖJ ni watu wengine walioko ujerumani ambao vijana wetu wa kujitolea walioko Tanzania wanaweza kuwasiliana nao.

Nyuma

 

 

Kwa ushirikiano na: