Huduma za hiari

Tunatoa huduma tofauti za hiari nchini Tanzania. Hii inahusisha kwanzia huduma za kufanya kazi kwa hiari kwa mwaka mmoja kutokana na mpango wa serikali wa “weltwärts”mpaka uwezekano wa kufanya mazoezi ya kazi kwa wanafunzi na nafasi ya kupata ujuzi nchi za nje.kwa kufanya kazi au uchunguzi kwa kazi za vyuoni.

 

(Kopie 2)

Mawasiliano kwa ujenzi wa shule:

Oliver Zantow

ozantow(at)aol.com