(Kopie 5)

  • KIUMAKO-Secondary-School

  • KIUMAKO-Secondary-School

  • KIUMAKO-Secondary-School

  • KIUMAKO-Secondary-School

Shule ya sekondari KIUMAKO

Shirika letu limekuwa likisaidia ujenzi wa shule ya sekondari KIUMAKO iliyopo Uuwo,karibu na Moshi nchini Tanzania kwa miaka mingi.Baada ya kununua kiwanja mwaka 2004 shule ilianza kujengwa tokea mwaka 2005 na ikaendelea kujengwa.Ujenzi wa shule hiyo unakaribia kumalizika.Tangu mwaka 2015 ujenzi wa jiko na madarasa mengine ya masomo maalumu ulianza.

Ujenzi wa shule hiyo ya KIUMAKO unafanyika kwa kupata pesa kutoka shirika la BINGO .Kwa kuongezea kuachana na michango ambayo tunapata pia tunapata pesa kutoka serikali ya Schleswig-Holstein.

Tangu mwisho wa mwaka 2014 shule ya kiumako imetambulika rasmi kwenye serikali ya Tanzania na wanafunzi wa kwanza walipangiwa kwenda kusoma kidato cha kwanza.masomo yalianza tokea uzinduzi wa kwanza wa shule ambapo ilikuwa bado haijawa ghorofa wakati wa kipindi cha vuli mwaka 2009.

Lengo letu ni kukuza shule na kuifanya kuwa shule ya bweni ili kusaidia watoto ambao wanakaa mbali sana na shule.

Mawasiliano kwa ujenzi wa shule:

Oliver Zantow

ozantow(at)aol.com