mambo endelevu

Lebo ya Unesco

RAFIKI  ilipewa tuzo kwenye mada ya miaka kumi kuhusu elimukwa maendeleo endelevu.(2005-2014) na UNESCO mara mbili mwaka 2010/11 na 2012/13.

Zaidi ya hayo pia tumepewa cheti kwa kuwa washiriki wa elimu kwa maedeleo endelevu kwa eneo la Schleswig-Holstein.

RAFIKI ev.inachukua majukumu kwenye siku ya ESD ambayo inafanyika dunia nzima na pia kwenye “wiki ya haki”.

Nyuma