Gari la shule kwa Mrimbo
Baada ya uchunguzi mwingi na juhudi isivyokuwa imetarajiwa sasa tumefanikiwa kuwa na gari kwa kwenda ziara za kimasomo kwenye shule ya sekondari KIUMAKO.
Aina ya gari ni Toyota coaster ambayo ni nzima kabisa.Tuliweza kununua hili gari kutoka kwenye kampuni kubwa ya kitalii “Leopard tours”. Gari hili halijaharibika sehemu yeyote na lilipelekwa kwa uchunguzi zaidi kwenye gereji. Lina viti 18 na pia inaenda kilometa 180 kwa lisaa.
Gari linatumika sanasana kwa ziara za kimasomo. Lakini pia lina kodishwa na shule nyingine,taasisi za kielimu na pia miradi ya kijamii. Kwa njia hii washirika wetu wa KIUMAKO wanaweza kuendelea kupata fedha.
[Translate to Kisuahelil:] Gefördert durch: