Shule kwa Mrimbo

Kijiji cha Mrimbo kipo kwenye mteremko wa mlima Kilimanjaro nchini Tanzania.Watu wanaishi kwa kilimo,kukuza ndizi au kahawa na kuuza kwa bei ya chini sana.Watoto wanaanza shule katika umri wa miaka sita na kwa kawaida wanasoma shule ya msingi mpaka darasa la saba.Kwa wengi wao wanaishia hapo kwa sababu ya uhaba wa shule za sekondari Tanzania. Kubadilisha haya Rafiki imekuwa ikijenga shule ya sekondari ya KIUMAKO kwenye kijiji nchini Tanzania.kwanzia mwaka 2004 imewekeza Zaidi ya euro 100,000 kwenye ujenzi wa ghorofa mbili hapo shuleni.Msaada wa kifedha ulitolewa na eneo la Schleswig-holstein na BINGO!.  Mwaka 2009 eneo la chini la ghorofa lilikuwa limekamilika likafunguliwa rasmi na somo la kwanzo likafanyika huko.kwa sasa shule inasajiliwa kwenye serikali na inaitwa shule ya sekondari KIUMAKO.

 
 

Nyuma

 

 

Imefadhiliwa na: