• KIUMAKO-Secondary-School

  • KIUMAKO-Secondary-School

  • KIUMAKO-Secondary-School

  • KIUMAKO-Secondary-School

RAFIKI e.V. - Denn Freunde sind füreinander da (kwa sababu marafiki wapo kwa kusaidiana)

RAFIKI (kwa sababu marafiki wapo kwa kusaidiana)- kwa maana hiyo, RAFIKI imejihusisha na ujima kuungana na urafiki Tanzania.yote hayo yameunganika na hivyo jengo la shule ya secondary karibu na Kilimanjaro kukubalika.

Pia imejihusisha na mambo ya kazi za elimu na kutoa taarifa na kuunganisha kati ya tabia za wateja na maisha ya watu kwa ujumla

Kwa maana hiyo ujima huu umeandaa hisani , na pia kujulisha watu maisha na uhalisia kwa eneo la Kilimanjaro kwa kuwa na wiki ya Tanzania , kuleata miziki ya waafrika kaskazini mwa ujerumanikwa kuandaa vipindi vikiwa na kurasa hizo.,,, kuimba afrika,, na pia kuanzishwa kuhusu Tanzania na wanafuunzi kutoka chuoni Kiel.

Mwanzoni mwa uhusiano huu ilikua inaongozwa na urafiki na RBZ Wiertschaft. Kiel. Hivyo ndo maana shule ipo imeungwa na kazi za RAFIKI e-V ,mpaka sasa kazi zetu zimeungwa kwa mfano wa chuo cha Kiel au RBZ Steiburg.Tunafanya kazi pamoja na shule mbalimbali na vitengo vya elimu kwa lengo la kuleta nguvu kazi pamoja kwa kazi za Tanzania kwa kufaidi mawasiliano na uzoefu kutoka kazi za elimu Schleswig-Holstin. Pia,kujihusisha huu upo hai na urafiki kati ya prov Kiel mji wa Moshi vijijini,

Tumekuwa tukituma vijana wakujitolea kwenda Tanzania kwa miaka mingi sasa kwa kuongozwa na fedral program weltwarts. Na kitengo husika kwa kutuma vijana hawa ni kinaitwa Kiel (jugend im Ausland)

RAFIKI imepewa na UNESCO muungo ya kufanya miradi mbalimbali kwa dunia kwa ujumla kwa kusimama imara muungo elimu kipindi cha mwaka 2010/2013: Licha ya hiyo tuna cheti cha mambo ya elimu katika mkoa Schleswig-Holstein.

Kufanikisha lengo, mji wa Kellinghusen umekuwa wa biashara halali- na pia wakwanzaa Sshleswig-Holstein